WENGER AMGEUKIA BEKI WA ZAMANI MAN UNITED KUZIBA PENGO LA MERTESACKER
Kocha mkuu wa Arsenal Mfaransa Arsene Wenger amemgeukia beki wa zamani wa klabu ya Manchester United Jonny Evans kutaka kujaza nafasi ya Per...
Kocha mkuu wa Arsenal Mfaransa Arsene Wenger amemgeukia beki wa zamani wa klabu ya Manchester United Jonny Evans kutaka kujaza nafasi ya Per...
Barcelona jana waliinyuka Celtic bao 3-1 katika mchezo wa kirafiki katika michuano ya International Champions Cup. Tumekuwekea highlights za...
Mkutano mkuu wa klabu ya Simba unafanyika leo katika bwalo la Polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam ukiwa na Agenda 10.
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Michuano ya International Champions Cup inazidi kushika kasi nchini Marekani ambako Mabingwa wa Ulaya Real Madrid waliwalaza Chelsea kwa bao...
Mshambuliaji mpya wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic ameanza kazi rasmi ndani ya kikosi hicho baada ya kufunga bao moja katika ushindi ...
Everton wamekataa ofa ya paundi milioni 57 iliyotolewa na Chelsea kutaka kumsajili mshambuliaji Romelu Lukaku.
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Mkurugenzi mtendaji na Rais wa makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) ambaye pia ni bilionea kijana Afrika Mohammed Dewji...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Nahodha wa Ureno na mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameendelea kuteka ulimwengu baada ya leo kuzindua mablanket yenye nembo ya...
Nyota ya nahodha wa Tanzania Mbwana Ally Samatta imeendelea kung'ara baada ya kujihakikishia namba katika kikosi cha Genk kinachoshiriki...
Tazama picha za mazoezi ya Manchester United leo kivutio kikubwa akiwa ni mshambuliaji mpya wa klabu hiyo Zlatan Ibrahimovic.
Michuano ya International Champions Cup imeendelea mchana huu kwa Manchester City kuifunga Borussia Dortmund ya Ujerumani kwa penati 6-5.
Heka heka za usajili wa wachezaji katika ligi kuu nchini England zinazidi kushika kasi usajili ambao utaishia Agosti 31 mwaka huu. Na hii nd...
Zlatan Ibrahimovic amesema alikataa kujiunga na klabu ya Marekani ya FC MIAMI inayomilikiwa na gwiji wa zamani wa Manchester United David Be...
Mabingwa wa kombe la Kagame Azam FC wanaendelea na maandalizi yao ya msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara pamoja na mashindano mbalimbali mj...
Michuano ya International Champions Cup imeendelea nchini Marekani ambapo mechi kadhaa zimepigwa usiku wa kuamkia leo Alhamisi.
Sakata la usajili wa kiungo Mfaransa Paul Pogba limeingia katika hatua nyingine baada ya Real Madrid kushindwa kukataa kama hawamuhitaji mch...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Mabingwa wa Italia Juventus wamekamilisha usajili wa Gonzalo Higuain kwa kumkabidhi jezi namba 9.
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Mabingwa wa Tanzania bara Yanga wamezidi kupotea katika mbio zao za kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la shirikisho barani ...
Wekundu wa Msimbazi Simba ambao wako katika kambi ya mazoezi mjini Morogoro jioni hii wameikandamiza Polisi Morogoro bao 6-0.
Kuelekea katika pambano la marudiano la Kombe la Shirikisho barani Afrika kikosi cha Yanga kimewekwa tayari hadharani.
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Aliyekua kiungo wa mabingwa wa Tanzania bara Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Salum Telela amesaini kuichezea Ndanda FC ya Mtwara.
Pambano la watani wa jadi wa jiji la Manchester Yani klabu mbili za Manchester United na Manchester City limefutwa kutokana na hali mbaya ya...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Mabingwa wa Scotland Klabu ya Celtic imekamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Ivory Coast Kolo Toure toka Liverpool.
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Kocha wa Arsenal Mfaransa Arsene Wenger ameahidi kutumia pesa nyingi kuimarisha kikosi chake kabla dirisha la usajili halijafungwa.
Sakata la usajili wa kiungo wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya Juventus limezidi kushika kasi baada ya wadau mbalimbali duniani kupondea k...
Aliyekua kocha wa Everton na Manchester United David Moyes ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa Sunderland.
Kikosi cha kocha Arsene Wenger kimeanza maandalizi ya msimu mpya kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Lens ya Ufaransa.
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Ziara ya Manchester United nchini China imeanza vibaya baada ya kukumbana na kipigo cha bao 4-1 toka kwa Borussia Dortmund ya Ujerumani.
Shirikisho la soka barani Afrika CalAF limepata mdhamini mpya wa mashindano yake baada ya kumalizika kwa mkataba na kampuni ya mawasiliano y...
Chama cha soka nchini Hispania imemtangaza kocha wa zamani wa Porto na timu ya vijana ya Hispania Julen Lopetegui kama kocha wao mkuu.
Michuano ya International Champions Cup (ICC) kanda ya China inaanza leo kwa mechi kali baina ya Manchester City ya England na Borussia Dort...
Kiungo wa Chelsea Nemanja Matic na kiungo wa Newcastle Moussa Sissoko wanatajwa kuwaniwa na Juventus ambao ni mabingwa wa Italia.
Klabu ya Genk ya Ubelgiji ambayo ni klabu anayochezea nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta imesonga mbele katika michuano ya Europa League baa...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Liverpool wametua salama nchini Marekani tayari kwaajili ya kucheza mechi za maandalizi ya msimu mpya wa ligi.
Kuelekea msimu mpya wa Ligi kuu nchini England na michezo mbali mbali ya klabu hiyo,namba za jezi za wachezaji zimewekwa wazi.
Kocha mpya wa Manchester City Pep Guadiola ameanza kibarua chake ndani ya klabu hiyo kwa kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Bayern Munich.
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Mabingwa wa Tanzania bara Yanga wanaendelea na mechi zao za kombe la shirikisho barani Afrika hatua ya Makundi. Kwa upande wangu vitu hivi ...
Kikosi cha wekundu wa msimbazi Simba kinaendelea na mazoezi ya kujiandaa kwaajili ya msimu mpya mjini Morogoro.
Kikosi cha Manchester United tayari kiko nchini China kwa ziara ya kujiandaa na msimu mpya.
Siku chache baada ya kuondoka katika kikosi cha Bayern Munich kocha mpya wa Manchester City atarudi katika dimba la Allianz Arena na kikosi ...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Klabu ya Soka ya Ruvu Shooting imeamua kuachana na kocha wake mkuu Mkenya Tom Alex Timamu Olaba na badala yake kumtumia Seleman Mtungwe amba...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Sherehe za ugawaji wa tuzo kwa wachezaji,makocha na timu zimefanyika usiku wa tarehe 17 Julai. Kiukweli zimegawiwa kwa haki na wote waliofan...
Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA limetoa orodha ya wachezaji 10 watakaowania tuzo ya mwanasoka bora barani Ulaya kwa mwaka huu.
Manchester United imeongeza idadi ya wadhamini wake kwa kusaini mkataba na kampuni ya Virgin Money inayojihusisha na maswala ya fedha.
Liverpool wanaendelea na mbio zao za kuimarisha kikosi chao kwa kufanya usajili katika idara karibia zote muhimu tayari kwaajili ya msimu uj...
KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Zeben Hernandez, jana ameiongoza timu hiyo kwenye mchezo wa kwanza tokea aka...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua y...
Mabingwa wa Tanzania bara Yanga SC wameendelea kutawala katika tuzo za washindi wa msimu uliopita wa ligi kuu ya soka Tanzania bara.
Chama cha soka nchini Ukraine kimemteua mshambuliaji wa zamani wa AC Milan na Chelsea Andriy Shevchenko kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya tamk...
Kiungo mpya wa Chelsea Ng'olo Kante amesema kujiunga kwake kuichezea klabu hiyo ya London ni kutimia kwa ndoto yake ya kucheza katika kl...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua y...
Mabingwa wa Tanzania Bara Yanga wameambulia pointi moja baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Medeama ya Ghana katika mechi ya kombe la Shiriki...
Kocha mpya wa Manchester United Jose Mourinho ameanza kwa ushindi katika mechi yake ya kwanza akiwa kana kocha mkuu wa Klabu hiyo.
Mabingwa wa Tanzania bara Yanga wanajitupa dimbani jioni hii kumenyana na Medeama ya Ghana katika kombe la shirikisho barani Afrika. Na hiki...
Na Richard Leonce. Kwa siku za hivi karibuni, Klabu ya Yanga imekua mfano wa kuigwa katika suala zima la kuiandaa timu yao. Hapa ni lazima...
Na Ayoub Hinjo Ni mchezo mmoja kati ya minne ambayo timu ya Yanga amebakiwa nayo,ni hivyo hivyo kwa Medeama kutoka nchini Ghana. Kwa kuzit...
Miamba ya soka barani Ulaya Manchester United,Bayern Munich, Chelsea, Dortmund na nyingine leo zinajitupa katika viwanja mbalimbali kucheza ...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua y...
Shirikisho la soka Nchini Tanzania TFF limesimamisha uongozi wa klabu ya Stand United Kampuni chini ya Mtendaji wake mkuu Aliyekua katibu mk...
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta jana usiku aliweka historia mpya katika maisha yake ya soka. ...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua y...
FIFA Imetoa viwango vya ubora wa nchi wanachama wake kwa mwezi wa 6 ambapo Tanzania imepanda kwa nafasi 13 katika viwango hivyo.
Mabingwa wa soka nchini Spain klabu ya Barcelona imeweka wazi jezi zake mpya za ugenini kwaajili ya msimu ujao.
Nahodha wa Taifa Stars na mshambuliaji wa klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji Mbwana Ally Samata leo ataweka historia mpya kwake na Tanzania. ...
Baada ya kuonekana hafai ndani ya vikosi vya Manchester United na Chelsea mshambuliaji wa Colombia anayeichezea Monaco ameanza kurudisha mak...
Na Richard Leonce Ni siku ambazo mashabiki wengi wa Arsenal hawana cha kujivunia kwa kweli. Timu haitambi kwenye soko la usajili lakini ha...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua...
Wakata miwa wa mjini Morogoro Klabu ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kuinasa saini ya mshambulijai wa Timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya Mwadu...
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho yuko tayari kumsajili kiungo kutoka Spain, Cesc Fabregas, 29, ambaye alikuwa naye Chelsea (Daily M...
Maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu nchini Tanzania yanaendelea vyema kwa kila klabu kutaka kujiweka sawa kuonyesha makali yake msimu ujao...
Maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu nchini England yanaendelea kwa Kikosi cha Manchester United chini ya Jose Mourinho kinaendelea na mazoe...
Kama kuna mtu anatamani maisha yangerudi nyuma ili aende akarekebishe alipokosea basi Ronaldinho Gaucho angekua mmoja wa watu hao.
Michuano ya Euro 2016 ilimalizika kwa Ureno kuwafunga wenyeji kwa bao 1-0 katika mchezo wa fainali.
Uhalisia wa maisha ni mabadiliko ya kila siku kwa mwanadamu lakini maisha haya yamebadilika vibaya kwa Waingereza ambao wanasifika kwa kuwa ...
Baada ya kufanya vibaya kwa misimu kadhaa wekundu wa Msimbazi Simba wameamua kupiga mazoezi ya nguvu katika viunga vya mji wa Morogoro.
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Azam TV leo imeweka historia mpya katika soka la Tanzania baada ya kusaini mkataba mpya wa udhamini kwaajili ya haki ya matangazo ya ligi hi...
Klabu ya Tottenham Hotspur ya England imekamilisha usajili wa mshambuliaji Vincent Janssen kwa paundi milioni 18.5.
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limeipiga faini ya dola 5,000 Klabu ya Young African kwa kosa la kuchelewesha mchezo baada ya wa...
Ureno ndiyo mabingwa wapya wa michuano ya Euro 2016 na hapa tumekuwekea video highlights za mchezo huo.
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji sita kwa awamu ya kwanza huku nyota wawili ...
MABINGWA NI URENO (PORTUGAL) Timu ya taifa ya Ureno ndiyo mabingwa wapya wa kombe la mataifa ya Ulaya Euro 2016 yaliyomalizika nchini Ufara...
Natumai ujumbe huu utakufikia popote pale ulipo Mheshimiwa Patrick Kahemele. Awali ya yote nikupongeze sana kwa kupata nafasi ya kuwa Katib...
Uongozi wa Klabu ya Stand United ya Mjini Shinyanga inayodhaminiwa na kampuni ya uchimbaji madini ya ACACIA Jana ulikua na mkutano na wajumb...
Michuano ya kombe la mataifa ya Ulaya Euro 2016 inahitimishwa leo kwa pambano kati ya Ufaransa ambao no wenyeji dhidi ya Ureno ukiwa ndiyo m...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Hafla ya kukabidhi tuzo mbalimbali za washindi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa msimu wa 2015/2016 itafanyika Julai 17 mwaka huu.
Kijana kutoka Tarime anajulikana kwa jina la ABDALAH HAMIS akicheza nafasi ya kiungo mkabaji, huku akiwa na umri wa miaka 23 tu ni mmoja kat...
Anthony Martial.. Kinda ghali zaidi duniani anayekipiga katika klabu ya Manchester United amekuwa akipata wakati mgumu sana kwa sasa katika ...
Mabingwa wa ligi kuu nchini England Leicester City wametangaza rasmi kumsajili mshambuliaji wa Nigeria na klabu ya CSKA Moscow Ahmed Musa kw...
Liverpool jana ilianza mechi zake za kujiandaa na msimu mpya wa ligi nchini England kwa kuifunga timu ndogo ya Tranmere Rovers katika mchezo...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Mkuu wa habari wa klabu ya Yanga Jerry Muro amesema hatambui adhabu iliyotolewa na TFF ya kufungiwa mwaka mmoja na kulipa faini ya milioni 3...
Kama hukuangalia mechi hiyo unaweza kucheki hapa highlights za mechi hiyo ambayo iliisha kwa Ujerumani kufungwa bao 2-0.
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Timu ya Taifa ya Ufaransa imepata nafasi ya kucheza katika fainali ya michuano ya Euro 2016
Klabu ya Middlesbrough iliyopanda kucheza ligi kuu ya England msimu ujao imethibitisha kumsajili kipa wa zamani wa Barcelona na Manchester ...
Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF limemfungia mwaka mmoja msemaji wa Yanga Jerry Muro.
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Kama hukupata muda wa kutizama mechi ya nusu fainali ya michuano ya Euro 2016 wakati Ureno wanaifunga Wales bao 2-0 waweza kuangalia highlig...
Siku ya tarehe 6 Julai imetawaliwa na Habari mbili kuu zinazowahusu wacheza soka bora kabisa kuwahi kutokea Duniani yani Lionel Messi na C...
Hatimaye Manchester United imekamilisha uhamisho wa kiungo mshambulijaivwa Borussia Dortmund Henrikh Mkhitaryan kwa mkataba wa miaka minne
Mahakama ya jiji la Barcelona nchini Spain imewahukumu mshambuliaji wa Barcelona na mchezaji bora wa dunia Lionel Messi na Baba Yake Jorge...
Mlinzi wa kati wa klabu ya Everton John Stones ameiambia klabu yake hiyo kwamba anataka kujiunga na Manchester City katika dirisha hili la u...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Kiungo mshambuliaji wa Ureno na klabu ya Fernebahće Luis Nani amesajiliwa na Klabu ya Valencia ya Spain.
Kocha mpya wa Manchester United amesema katika utawala wake pale Old Trafford hatakaa amchezeshe Rooney kama kiungo.
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Usajili wa wachezaji unaendelea kimataifa na hapa nyumbani tayari kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu ya soka Tanzania bara, kombe la shirik...
Jana Ufaransa ilikua nchi ya mwisho kutinga nusu fainali ya Euro 2016 baada ya kuifunga Iceland bao 5-2 na hapa tumekuwekea highlights za mc...
Uongozi wa Klabu ya Stand United ya Mjini Shinyanga inayodhaminiwa na kampuni ya uchimbaji madini ya ACACIA umeendelea na maandalizi ya kuji...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Wenyeji wa fainali za kombe la mataifa ya Ulaya Euro 2016 timu ya taifa ya Ufaransa imefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali.
Klabu ya Chelsea imefanya usajili wa kwanza msimu huu baada ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji Michy Batshuay...
Mshambuliaji wa Liverpool Mario Ballotel amerejea katika mazoezi ya klabu hiyo kujiandaa kwaajili ya msimu mpya huku akitanabaisha kwamba le...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Kama hukubahatika kuona pambano la Ujerumani na Italia ambapo Ujerumani wameweza kutinga nusu fainali kwa kushinda kwa penati 6-5 angalia ha...
Mbio ndefu za Timu ya Taifa ya Italia kuweza kuchukua ubingwa wa kombe la mataifa ya Ulaya Euro 2016 zimegonga mamba baada ya kutupwa nje na...
Klabu ya Crystal Palace inayoshiriki katika ligi kuu nchini England imeendelea kufanya usajili wa nguvu tayari kwaajili ya msimu ujao na sa...
Klabu ya Chelsea imethibitisha kuachana na wachezaji watatu ambao walikua hawapati namba kikosini kutokana na sababu mbalimbali lakini hasa ...
Wales jana waliifunga Belgium bao 3-1 katika mechi ya robo fainali ya pili ya michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa. Tumekuwekea hapa highl...
Timu ya taifa ya Wales imefanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Ulaya Euro 2016 inayoendelea nchini Ufaransa.
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...
Katika wiki chache zilizopita, kumekuwepo migongano mingi kuhusiana na masuala ya klabu ya Yanga (Young Africans Sports Club) ambapo haikuw...
Aliyekua kocha msaidizi wa Simba ambaye amedumu kama kocha mkuu wa klabu hiyo kwa muda mrefu anatajwa kwenda kuifundisha klabu ya Kagera Sug...
Mabingwa wa Spain Barcelona wameweka kipengele cha kulipwa kiasi cha paundi milioni 210 kama kuna klabu itataka kumnunua mshambuliaji wake ...
Klabu ya Southampton ya England jana ilimtangaza Mfaransa Claude Puel kama kocha wako mkuu.
Paris Saint-Germain ambao ni mabingwa wa ligi kuu ya Ufaransa wamekamikisha usajili wa winga wa kimataifa wa Ufaransa Hatem Ben Arfa.
Katika kurudisha makali yake wekundu wa msimbazi Simba wamemtangaza aliyekua kocha wa timu ya taifa ya Cameroon na Azam FC Joseph Marius Omo...
Tumekuandalia highlights za mchezo wa robo fainali kati ya Ureno na Poland kama hukupata muda wa kuutazama
Mechi ya kwanza ya robo fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Ulaya Euro 2016 baina ya Ureno na Poland imeamuliwa na changamoto ya mikw...
Mpenda soka mwenzangu, nimekuwekea kilichojiri kwenye magazeti ya Tanzania kwa upande wa habari za Michezo. Usiache kuingia hapa kujua yot...