MAN UNITED WAKIWA KATIKA MAZOEZI TAYARI KUIVAA WIGAN JUMAMOSI (+Picha)

Maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu nchini England yanaendelea kwa Kikosi cha Manchester United chini ya Jose Mourinho kinaendelea na mazoezi katika viwanja vya AON Complex Jijini Manchester.


Man United itashuka dimbani Jumamosi katika mechi ya kwanza ya kirafiki dhidi ya Wigan katika uwanja wa DW baadae watasafiri kwenda China ambako watacheza na Borrusia Dortmund na Manchester City.

Wachezaji wengi walikua katika mazoezi wakiwa na nyuso za furaha wakiwemo wachezaji wapya Eric Bailly na Henrik Mikytaryan.









No comments

Powered by Blogger.