WAARABU AKILI NYINGI NA HIVI NDIVYO WALIVYOPANGA KUMSAJILI NEYMAR NA KUEPUKA KUFUNGIWA NA UEFA
Moja kati ya habari inayoumiza Ulimwengu wa Wapenda Soka ni sakata la Uhamisho wa Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil na klabu ya Barcelona...
KAMA KIJANA HIKI NDICHO UNACHOPASWA KUJIFUNZA KUHUSU WAYNE ROONEY
Rooney aliondoka nyumbani akiwa mdogo wa kiumri ila akiwa mkubwa kifikra. Akili zake zilikuwa zimekomaa, hakusita kuondoka nyumbani kwao ...
BAADHI YA MAMBO NILIYOYAONA KWENYE MECHI YA MAN UNITED vs LIVERPOOL.
Kuna vitu waweza ukashangaa ukiambiwa, lakini siku zote uhalisia wa jambo huja kwa mshangao. Liverpool kujilinda kwa asilimia kubwa k...
KUELEKEA KATIKA FAINALI ZA AFCON - HUU HAPA UCHAMBUZI WA MAKUNDI
Na Martin Kiyumbi. GROUP A GABON. Hawa ndiyo wenyeji wa mashindano haya. Unaweza mwangalia Pierre- Emerick Aubameyang katika jicho ...
NILICHOKIONA KWENYE MECHI YA SIMBA NA YANGA.
Kuna kitu kimoja ambacho eneo la kiungo cha Simba walikuwa wanakikosa zamani ila kwa sasa kimepatikana Kupitia Kotei. Kipindi ambacho...
WIKIENDI YA UPINZANI WA JADI KATIKA LIGI 5 MAARUFU BARANI ULAYA. JE UTAWEKA MIKEKA MINGAPI?
Na Frank LeLo. Burudani ya soka inarudi kwa kishindo wikiendi hii baada ya kumalizika kwa mechi za kimataifa. Hakutakua na mechi za kima...
HII NI NAFASI KUBWA KWA ARSENE WENGER KUFUTA UTEJA DHIDI YA MOURINHO NA MANCHESTER UNITED.
Na Frank Lelo Jumamosi ya tarehe 19 mwezi septemba 2016, mida ya saa tano na nusu asubuhi Jijini Manchester, Uingereza na saa tisa na n...
KUTANA NA KOCHA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI ANAYESUMBUA WAKONGWE BUNDESLIGA
Julian Nagelsmann! Ni jina geni masikioni mwa mashabiki wengi wa soka duniani, lakini si kwa wale wa ligi kuu ya Ujerumani, Bundesliga! A...
KARATASI ZA KITABU CHA MSIMU ULIOPITA RANIERI ALIZIFUNGIA KITUMBUA.
Wakati Danny DrinkWater akiwa mchezaji bora Wa Klabu ya Leicester City msimu Wa 2013-2014 masikio yangu yalianza kulazimisha shingo kugeu...
WANA - YANGA TUUELEWE MKAKATI WA MANJI ILI KLABU YETU INUFAIKE.
KLABU ya Yanga ipo katika mchakato wa mabadiliko kiungozi na kiumiliki utakaodumu kwa miaka 10 ijayo,Mwenyekiti Yusuf Manji aliomba ridhaa ...
WAYNE ROONEY, UINGEREZA NI YA WOTE NA NI YAKO PEKE YAKO.
Uingereza ni nchi ya watu wanaojipenda sana. Nchi ya watu wanaoamini kuwa Mwenyezi Mungu alitangulia kuumba nchi yao kisha zikafuata nyingi...
MAPENZI YETU KWA SIMBA NA YANGA YAMEUZIDI HATA MPIRA WENYEWE.
Na Richard Leonce Huwezi kupinga kwamba wapenzi wa soka hapa nchini wamegawanyika katika makundi mawili ya ushabiki wa timu kongwe za Simb...
NICASIUS AGWANDA NIMEWAZA SIMBA NA YANGA MARA KUMI.
1. Biashara ya soka inakua kila kukicha ndio maana hawa wawekezaji wamezitamani na sisi tumewapa kwa sababu tumechoshwa na wezi walikuwepo. ...
DIAMOND NA MBWANA SAMATTA WAMEVUNJA UKUTA.
Na Mandala J . Ukiangalia kwa undani hapa muziki biashara sioni mwanamuziki wa kumfananisha na Diamond ni kama vile wachezaji wa Mpira wali...
TFF MNAJUA KIINI CHA TATIZO LA MAREFA NCHINI , MAREFA JE?.
Na Mandala J. USIOMBE ikuguse na kukumbusha kuwa nawe ni mmoja wa watu waliochangia na kukuza matatizo ya kuchezesha vibaya michezo ya...
CONTE, KWA SASA FABREGAS NI SUMU
Antonio Conte ni moja kati ya makocha bora na wenye akii nzuri ya mpira pamoja na falsafa ambazo zimekuwa zikimpa matokeo pamoja na mafaniki...
CHELSEA VS LIVERPOOL. GEGGENPRESSING VS HALF CATTENACCIO
Ni nadra sana kushuhudia kocha wa Kiitaliano kuwa na safu mbovu ya ulinzi. Hii ni sifa yao kutokana na makuzo yao ya kisoka. Kushangaa kwani...