About US

wapendasoka.com ndiyo kiunga pekee unachoweza kuperuzi na kusoma habari mbalimbali za mchezo maarufu wa mpira wa miguu. Kupitia wapendasoka.com utaweza kupata habari zote za soka, iwe ni uchambuzi kabla na baada ya mechi, matokeo ya mechi, misimamo ya ligi mbalimbali duniani. Habari za uhakika za kitaifa na kimataifa, video mbalimbali kuhusu mchezo wa soka. Habari mbalimbali za wachezaji na timu zao, mashindano mbalimbali ya mpira wa miguu.

Tunafanya haya ili kukurahisishia wewe kuweza kufahamu yote unayohitaji kuhusu mchezo huu unaopenda wa soka. Endelea kutembelea wapendasoka.com na kila kilichoandikwa humu unaruhusiwa kushare lakini hurusiwi kubadili chochote.

Kwa maoni na ushauri tuandikie
wapendasoka@gmail.com


No comments

Powered by Blogger.