MAN UNITED YADUNDWA NA BRIGHTON UGENINI
Msimu wa ligi kuu ya England unakaribia kumalizika huku Klabu ya Manchester United Ikiwa imeweka historia mbaya zaidi baada ya kushuh...
SMALLING NA LUKAKU WANG'ARISHA SHOO YA MAN UNITED UGENINI
Mlinzi wa Kati wa Klabu ya Manchester United Chriss Smalling na mashmbuliaji wa Timu hiyo Romelu Lukaku wamefunga mabao mawili na kuiweze...
BAADA YA KUIFUNGA MAN CITY,POGBA AMTAJA MTU ANAYEMPA MBINU UWANJANI
Mfungaji wa magoli mawili ya Manchester United katika ushindi wa bao 3-2 walioupata jana dhidi ya Manchester City, Mfaransa Paul Pogba amet...
MANCHESTER CITY KUTWAA BINGWA MGONGONI MWA MAN UNITED LEO?
Klabu ya Manchester City pengine leo itatawazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa ligi kuu ya England watakapoikaribisha Manchester City katika ...
MARCOS ROJO ANOGEWA MAN UNITED, KAONGEZA MKATABA NA KUIKACHA PSG
Uvumi wa matajiri wa Ufaransa klabu ya PSG kutaka kumsajili Beki wa kimataifa wa Argentina anayeichezea Manchester United umezikwa rasmi le...
MAN UNITED YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA ULAYA
Usiku wa jana ulijawa na maumivu makubwa kwa mashabiki wa Manchester United Duniani baada ya timu yao kutupwa nje ya mashindano ya ligi ya ...
SANCHEZ ATAJA NAFASI ANAYOPENDA KUCHEZA UNITED
Baada ya Alexis Sanchez kukamilisha usajili wa kujiunga na Manchester United jana Jumatatu amesema atajisikia vizuri endapo meneja Jose Mo...
ASHLEY YOUNG APIGA BAO 2 MAN UNITED IKIPIGA 4 UGENINI KATIKA EPL
Winga wa Manchester United Ashley Young jana Usiku alikua silaha ya mashambulizi akifunga bao 2 katika ushindi wa bao 4-0 walioupata Manche...
MAN UNITED YAJIWEKA PAZURI KUFUZU 16 BORA, FC BASEL YABANIWA NYUMBANI MABINGWA ULAYA
Mabingwa wa kombe la Europa Manchester united wameendelea kupata ushindi 100% katika michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya msimu huu hatua ya ...
CHELSEA YAPIGWA 'TATU MZUKA' LIGI YA MABINGWA ULAYA, ATLETICO MADRID YABANWA NYUMBANI
Mzunguko wa pili wa hatua ya makundi katika ligi ya mabingwa barani Ulaya umeanza usiku wa jumanne na utamalizika usiku wa \jumatano katik...
MAN UNITED YAIADABISHA SPURS MAPEMA TU
Mechi ya mapema kabisa katika ligi kuu Soka ya England baina ya Wenyeji Manchester United dhidi ya Tottenham Hotspur imemalizika Kwa Unit...
VALENCIA WA MAN UNITED ASHINDA TUZO YA GOLI BORA LA MWEZI
Nahodha msaidizi wa Manchester United na mlinzi wa pembeni wa timu hiyo Antonio Valencia amefanikiwa kushinda tuzo ya goli bora la Mwezi Se...
MAN UNITED NA SPURS ZAPIGA 4G LIGI KUU ENGLAND LEO
Manchester United wameendeleza vipigo vya bao 4 katika mechi zake msimu huu wakiifunga Crystal Palace bao 4-0 katika mechi ya ligi kuu ya...
UBORA WA LUKAKU UMETOKANA NA UBORA WA TIMU - MOURINHO
Akiwa ameshafunga magoli 10 katika mechi 9 za mashindano yote msimu huu, Romelu Lukaku ameendelea kuwa mwiba mkali kwa nyavu za timu pi...
4G YA MAN UNITED YAHAMIA KATIKA KOMBE LA LIGI, CHELSEA YAPIGA MTU MKONO
Mabingwa watetezi wa michuano ya kombe la ligi nchini England maarufu kama EFL inayodhaminiwa na kampuni ya Carabao Manchester United wam...
NOMA: DE GEA AFIKISHA MECHI 100 BILA KUFUNGWA
Ushindi wa bao 4-0 walioupata Manchester United juzi dhidi ya Everton umemfanya kipa wa timu hiyo David de Gea kufikisha mechi 100 bila k...
ROONEY AKUMBANA NA KICHAPO CHA NGUVU AKIREJEA OLD TRAFFORD
Mfungaji bora wa muda wote wa Manchester United na mshambuliaji wa sasa wa klabu ya Everton Wayne Rooney jioni ya leo alirejea Old Traffo...
BAADA YA KUUMIA JUZI HIZI NDIZO MECHI ATAKAZOKOSEKANA PAUL POGBA
Moja kati ya wachezaji waliocheza mechi zote kwenye kikosi cha Manchester United msimu huu ni Paul Pogba ambaye dakika ya 20 kwenye mchezo ...