ASHLEY YOUNG APIGA BAO 2 MAN UNITED IKIPIGA 4 UGENINI KATIKA EPL

Watford 2-4 Manchester United: Jesse Lingard settles it
Winga wa Manchester United Ashley Young jana Usiku alikua silaha ya mashambulizi akifunga bao 2 katika ushindi wa bao 4-0 walioupata Manchester United dhidi ya Watford katika uwanja wa Vicarage Road.

Antony Martial na Jesse Lingard nao walifunga bao moja kila mmoja kwa upande wa United kuweza kujihakikishia ushindi muhimu ugenini dhidi ya Watford ambao wamekua na msimu mzuri wakiwa chini ya mkufunzi Marco Silva kocha wa zamani wa Hull City.

Man United baada ya ushindi huo inaendelea kusalia katika nafasi ya pili ikiwa na alama 32 ikiwa ni alama tano nyuma ya Man City ambayo pia ina mchezo mmoja mkononi ikicheza leo usiku dhidi ya Southampton.

No comments

Powered by Blogger.