WENGER AMGEUKIA BEKI WA ZAMANI MAN UNITED KUZIBA PENGO LA MERTESACKER

Kocha mkuu wa Arsenal Mfaransa Arsene Wenger amemgeukia beki wa zamani wa klabu ya Manchester United Jonny Evans kutaka kujaza nafasi ya Per Mertesacker


Tayari kiasi cha paundi milioni 16 kimetengwa na Arsenal kumpata beki huyo anayecheza nafasi ya beki wa kati katika klabu ya West Bromwich.

Wenger ameonyesha imani na beki huyo raia wa Ireland kaskazini tangu alipokua akiichezea Man united na alitaka kumsajili kipindi cha nyuma lakini United waliweka ngumu.




No comments

Powered by Blogger.