ARSENAL YAANZA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA KWA SARE

Kikosi cha kocha Arsene Wenger kimeanza maandalizi ya msimu mpya kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Lens ya Ufaransa.



Alex Oxlade-Chamberlain alirejea dimbani baada ya kukaa nje miezi mitano na kufanikiwa kuipatia Arsenal goli la kusawazisha baada ya Lens kutangulia kufunga kupitia kwa Mathias Autret.

VIKOSI VILIVYOKUWA

Arsenal (4-2-3-1):
Martinez (Macey 46); Debuchy (Bielik 46), Mertesacker, Chambers, Monreal (Gibbs 46); Elneny (Campbell 46), Coquelin; Walcott (Zelalem 77), Iwobi (Willock 77), Reine-Adelaide (Oxlade-Chamberlain 46), Akpom (Gnabry 46).

Booked: Debuchy.

Goal: Oxlade-Chamberlain (dakika ya 81)

Lens (4-3-3):
Douchez; Scaramozzino, Landre, Cvetinovic, Ba; Lala, Bellegarde, Bostock; Bourigeaud, Autret, Zoubir.

Goal: Autret (Dakika ya 38)




No comments

Powered by Blogger.