MOURINHO AANZA NA USHINDI MAN UNITED

Kocha mpya wa Manchester United Jose Mourinho ameanza kwa ushindi katika mechi yake ya kwanza akiwa kana kocha mkuu wa Klabu hiyo.



Man United imeweza kuifunga Wigan bao 2-0 katika mchezo wa kwanza wa kirafiki kwa United msimu huu.

Magoli ya United yalifungwa na Andreas Perreira na Willy Keane katika mechi ambayo Mourinho aliweza kuchezesha vikosi viwili.

No comments

Powered by Blogger.