YANGA YAAMBULIA SARE NYUMBANI DHIDI YA MEDEAMA (+ Picha na Habari)

Mabingwa wa Tanzania Bara Yanga wameambulia pointi moja baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Medeama ya Ghana katika mechi ya kombe la Shirikisho barani Afrika katika dimba la Ta7ifa.


Goli la Yanga lilifungwa na Donald Ngoma akiunganisha pasi ya Thaban Kamusoko.

Matokeo hayo ni mabaya kwa Yanga ambayo inakamata Mkia wa kundi A ambalo linaongozwa na TP Mazembe wenye pointi 6 wakati MO Bejaia ya Algeria wenye pointi 4.



No comments

Powered by Blogger.