WACHEZAJI WATATU WAKIGENI WAONGEZEKA KATIKA KAMBI YA SIMBA MOROGORO

Kikosi cha wekundu wa msimbazi Simba kinaendelea na mazoezi ya kujiandaa kwaajili ya msimu mpya mjini Morogoro.


Wachezaji watatu zaidi wa kigeni wameongezeka katika kambi ya mazoezi ya timu hiyo iliyo chini ya kocha Joseph Omog na msaidizi wake Jackson Mayanja
wachezaji ambao wameungana na wengine watatu ambao tayari walishakua katika kambi hiyo.

Wachezaji hao ni ni washambuliaji Ndjack Anong Guy Serges kutoka Cameroon, Masanga Masoud Cedric na kiungo Sanga Bahende wote kutoka Congo DRC.

Kama mwalimu Joseph Omog ataridhika na viwango vyao basi atapendekeza wasajiliwe na klabu hiyo ambayo imebakiza wachezaji wanne wa kigeni kufikisha idadi ya wachezaji 7 wanaotakiwa na kanuni za soka nchini.

HII NDIYO IDADI KAMILI YA WACHEZAJI AMBAO WALISHAKUA KAMBINI

Wachezaji wapya Waliosajiliwa (Tanzania)
-Simwanza - mwadui
-Jamal Mnyate - mwadui
-Mzamili Yasini-Mtibwa
-Mohammed Ibrahim - - Mtibwa
-Chiza Kichuya - Mtibwa

Wachezaji Wapya Wa nje waliosajiliwa
-Frederick Blagnon - Avory cost

Wachezaji Ambao wako majaribio wa nje
-Janver Bokungu - Congo
-Method Mwanjalu-Zimbambe
-Mussa Ndusha - Congo

Wachezaji wa nje ambao hawarud Simba
- Hamis Kiiza
- Paul Kiongera
- Jastice Majabvi
- Pierre Namubona
- Brian Majwega

Wachezaji wa nje ambao wanaoendelea
- Juuko Murshid
- Vicent Angban

Kutoka U20 waliopandishwa.
- Moses Chibandu
- Kelvin Falu
- Vicent Costa
- Mohammed Kijiko
- Said Mussa

Wachezaji wa ndani ambao wanaendelea Simba

-Peter Manyika
-Denis Richard
-Said Issa
-Mohammed Tshabalala
-Abdi Banda
-Novatus Lufunga
-Jonas Mkude
-Awadhi Juma
-Mwinyi Kazimoto
-Said Ndemla
-Peter Malyanzi
-Haji Ugando
-Ibrahim Ajibu
-Danny Lyanga
-Mussa Mgossi

www.wapendasoka.com

No comments

Powered by Blogger.