SIMBA YAPANIA KUFANYA KWELI MSIMU UJAO YAENDELEA NA MAZOOEZI MOROGORO
Baada ya kufanya vibaya kwa misimu kadhaa wekundu wa Msimbazi Simba wameamua kupiga mazoezi ya nguvu katika viunga vya mji wa Morogoro.
Ratiba ya mazoezi ya Simba inaonyesha watakua Morogoro kwa wiki mbili baadae wataenda Zanzibar wiki mbili kabla kuanza msimu mpya Agosti 20 lakini watakua na mchezo wa kirafiki Siku ya Simba Day dhidi ya Gor Mahia ya Kenya.
Kocha mkuu Patrick Omog na msaidizi wake Jackson Mayanja ndiyo wanaoongoza mazoezi ya klabu hiyo sambamba na Wachezaji 26 waliokuwepo msimu uliopita waliosajiliwa msimu huu pamoja na wale waliotoka katika kikosi cha vijana.
Orodha kamili ya wachezaji walioko katika kambi ya Simba SC mjini Morogoro ni :-
1-Vicent Angban
2-Peter Manyika
3-Dennis Richard
4-Moses Chibandu
5-Said Mussa
6-Novatus Lufunga
7-Method Mwanjalu
8-Janver Besala Bokungu
9-Mohammed Tshabalala
10-Mwinyi Kazimoto
11-Muzamil Yasini
12-Mussa Ndusha
13-Mohammed Ibrahim
14-Awadhi Juma
15-Said Ndemla
16-Peter Malyanzi
17-Chiza Kichuya
18-Kelvin Falu
19-Vicent Costa
20-Mohammed Kijiko
21-Hajji Ugando
22-Ibrahim Ajibu
23-Danny Lyanga
24-Mussa Mgossi
25-Frederick Blagnon
26. Juuko Murshid

No comments