SIMBA 'KUMJADILI' MOHAMED DEWJI LEO

Mkutano mkuu wa klabu ya Simba unafanyika leo katika bwalo la Polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam ukiwa na Agenda 10.



Licha ya mambo mengi yatakayojadiliwa Wapenda Soka watakua wakisubiri kwa hamu Agenda ya mfumo gani utumike ndani ya Simba.

Tayari Mohamed Dewji ameshaonyesha nia ya kuidhamini klabu hiyo lakini tu kama watakubaliana kubadili mfumo.

Simba pia itapitia hesabu za fedha kwa mwaka uliopita na kujadili kuhusu bajeti ya msimu ujao.

No comments

Powered by Blogger.