USAJILI BONGO : BUSUNGU NA NONGA WAELEKEA STAND, ISIHAKA KUPELEKWA MBAO FC YA MWANZA
Usajili wa wachezaji unaendelea kimataifa na hapa nyumbani tayari kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu ya soka Tanzania bara, kombe la shirikisho Nchini Tanzania na michuano mingine
Hizi ndizo baadhi tu ya habari za usajili hapa Tanzania.
Tayari Simba imewaacha wachezaji watatu wa kigeni ambao ni Emery Nimuboma raia wa Burundi, Brian Majwega raia wa Uganda na Paul Kiongera raia wa Kenya.
Mustakabali wa mshambuliaji Hamis Kiiza na Juuko Murshid utategemea na maamuzi ya kocha mkuu.
Pia Simba iko mbioni kukamilisha usajili wa beki aliyeachwa na Azam FC Said Morad ambaye ambaye alishawahi kuichezea Simba miaka ya nyuma. Morad anaingia Simba na kujaza nafasi ya Hassan Isihaka ambaye anatarajiwa kupelekwa Mbao FC ya Mwanza.
Tayari Simba imeshasajili wachezaji kadhaa kwaajili ya msimu ujao wakiwemo Mohamed Ibrahim, Mzamiru Yassin na Shiza Kichuya, Emmanuel Simwanza,Ame Ally na Jamal Mnyate.
Simba pia iko mbioni kuwasajili Mrundi Laudit Mavugo na Mchezaji raia wa Ivory Coast Goue Blagnon.
Pia Yanga inatarajia kuwaachia washambuliaji wake wawili Malimi Busungu na Paul Nonga ambao wanatarajiwa kutangazwa hivi karibuni kuichezea Stand United kwa mkopo.
Pia Salum Telela ambaye ameachwa na Yanga anatarajiwa kuichezea Mwadui FC msimu ujao kama watamalizana na kukubaliana baadhi ya mambo. Awali mchezaji huyo ilisemekana angejiunga na Simba
Mabingwa hao wa kombe la Kagame
Azam Fc wao wanaanza maandalizi ya msimu mpya kesho wakiwa na makocha wapya toka Spain.
Azam wanaanza maandalizi ya msimu mpya huku kukiwa na sintofahamu kuhusu mshambuliaji wake nyota Raia wa Ivory Coast Kipre Tchetche
Tayari Stand United imeshatangaza kuachana na nyota kadhaa akiwemo Chanongo na Abuu Uba ambao kwa pamoja wamesaini mktaba wa miaka miwili kila mmoja.
Hizi ndizo baadhi tu ya habari za usajili hapa Tanzania.
SIMBA
Baada ya kumtangaza kocha mkuu Joseph Omog wekundu wa Msimbazi Simba wanategemewa kuweka hadharani muda wowote kikosi chao chote kwaajili ya msimu ujao.Tayari Simba imewaacha wachezaji watatu wa kigeni ambao ni Emery Nimuboma raia wa Burundi, Brian Majwega raia wa Uganda na Paul Kiongera raia wa Kenya.
Mustakabali wa mshambuliaji Hamis Kiiza na Juuko Murshid utategemea na maamuzi ya kocha mkuu.
Pia Simba iko mbioni kukamilisha usajili wa beki aliyeachwa na Azam FC Said Morad ambaye ambaye alishawahi kuichezea Simba miaka ya nyuma. Morad anaingia Simba na kujaza nafasi ya Hassan Isihaka ambaye anatarajiwa kupelekwa Mbao FC ya Mwanza.
Tayari Simba imeshasajili wachezaji kadhaa kwaajili ya msimu ujao wakiwemo Mohamed Ibrahim, Mzamiru Yassin na Shiza Kichuya, Emmanuel Simwanza,Ame Ally na Jamal Mnyate.
Simba pia iko mbioni kuwasajili Mrundi Laudit Mavugo na Mchezaji raia wa Ivory Coast Goue Blagnon.
YANGA
Mabingwa hao wa Tanzania na wawakilishi wa nchi katika kombe la shirikisho barani Afrika wamekamilisha tayari kikosi chao japo kuna uvumi kwamba wanamwania beki wa pembeni wa Simba Mohammed Hussein "Tshabalala"Pia Yanga inatarajia kuwaachia washambuliaji wake wawili Malimi Busungu na Paul Nonga ambao wanatarajiwa kutangazwa hivi karibuni kuichezea Stand United kwa mkopo.
Pia Salum Telela ambaye ameachwa na Yanga anatarajiwa kuichezea Mwadui FC msimu ujao kama watamalizana na kukubaliana baadhi ya mambo. Awali mchezaji huyo ilisemekana angejiunga na Simba
AZAM FC
Mabingwa hao wa kombe la Kagame
Azam Fc wao wanaanza maandalizi ya msimu mpya kesho wakiwa na makocha wapya toka Spain.
Azam wanaanza maandalizi ya msimu mpya huku kukiwa na sintofahamu kuhusu mshambuliaji wake nyota Raia wa Ivory Coast Kipre Tchetche
STAND UNITED
Sintofahamu ya nani atakinoa kikosi cha Stand United msimu ujao itapata ufumbuzi Jumamosi hii atakapotangazwa kocha wa kukinoa kikosi cha timu hiyo.Tayari Stand United imeshatangaza kuachana na nyota kadhaa akiwemo Chanongo na Abuu Uba ambao kwa pamoja wamesaini mktaba wa miaka miwili kila mmoja.
No comments