BAADA YA HOTEL SASA CRISTIANO RONALDO AZINDUA MABLANKET YAKE

Nahodha wa Ureno na mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameendelea kuteka ulimwengu baada ya leo kuzindua mablanket yenye nembo yake.


CR7Blanket ndiyo nembo ya mablanket ya kulalia aliyoizindua Ronaldo akiongeza idadi ya biashara zake anazozimiliki.

Mapema wiki iliyopita Ronaldo alizindua hoteli zenye nembo yake katika mji anaotokea wa Medeira huko Ureno na tayari ana biashara nyingi zenye nembo ya CR7 anazoziendesha na kuzidi kumpa utajiri kijana huyo mwenye mtoto mmoja tu.

No comments

Powered by Blogger.