JERRY MURO AKUMBANA NA RUNGU LA TFF, AFUNGIWA MWAKA MZIMA
Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF limemfungia mwaka mmoja msemaji wa Yanga Jerry Muro.
Jerry amefungiwa mwaka huo mmoja kutojihusisha na maswala yoyote yahusuyo soka ndani na nje ya Tanzania sambamba na kulipa faini ya shilingi milioni 3.
Adhabu hiyo imemkumba Jerry kwa kile kinachodaiwa ni kukaidi maagizo ya shirikisho hilo kwa kulisema vibaya shirikisho hilo.
Kikao kilichoketi leo Alhamisi kiliamua kumfungia Muro na ripoti kamili itatolewa na msemaji wa shirikisho hilo.

No comments