ICC : CHELSEA YAINYUKA LIVERPOOL, FABREGAS ALIMWA KADI NYEKUNDU

Michuano ya International Champions Cup imeendelea nchini Marekani ambapo mechi kadhaa zimepigwa usiku wa kuamkia leo Alhamisi.


Chelsea wameweza kuinyuka Liverpool bao 1-0 bao pekee la mlinzi Gary Cahill dakika ya 10 tu ya mchezo akifunga kwa kichwa.

Katika mchezo huo ambao ni mahususi kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya Kiungo wa Chelsea Cesc Fabregas alilimwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu beki Regnar Klavan wa Liverpool

No comments

Powered by Blogger.