IBRAHIMOVIC AANZA MAZOEZI RASMI NA MAN UNITED, MARTIAL,FELLAINI NA DARMIAN NAO WAREJEA (+Picha)

Tazama picha za mazoezi ya Manchester United leo kivutio kikubwa akiwa ni mshambuliaji mpya wa klabu hiyo Zlatan Ibrahimovic.
Mazoezi ya leo yaliwahusisha pia wachezaji kama Antony Martial Marouane Fellaini na Matheo Darmian nao wakirejea kuanza mazoezi baada ya kumalizika likizo zao.







No comments

Powered by Blogger.