ICC: MAN CITY YAWATOLEA UVIVU WABABE WA MAN UNITED

Michuano ya International Champions Cup imeendelea mchana huu kwa Manchester City kuifunga Borussia Dortmund ya Ujerumani kwa penati 6-5.



Dortmund ambao walinyanyasa Manchester United katika mechi ya ufunguzi wa mashindano hayo kwa kuifunga bao 4-1 leo wameshindwa kuonyesha umwamba wao baada ya kukubali kulala kwa penati 6-5.

Mchezo huo uliotawaliwa na makosa mengo kwa wachezaji kutokana na ubovu wa uwanja ulishuhudia City wakiandika bao la kwanza dakika ya 79 lililofungwa na Sergio Kun Aguero huku Dortmund wakisawazisha kupitia kwa Christian Pulisic dakika ya 90 na kufanya mchezo huo kumalizika kwa sare ya bao 1-1.

WALIOPIGA PENATI

Aleix Garcia (saved) - Man City 0-0
Felix Passlack (saved) – Dortmund 0-0
Tosin Adarabioyo (scored) – Man City 0-1
Shinji Kagawa (scored) – Dortmund 1-1
Fernandinho (scored) – Man City 1-2
Gonzalo Castro (scored) – Dortmund 2-2
David Silva (scored) – Man City 2-3
Dzenis Burnic (scored) – Dortmund 3-3
Sergio Aguero (scored) – Man City 3-4
Christian Pulisic (scored) – Dortmund 4-4
Nolito (scored) – Man City 4-5
Marco Hober (scored) – Dortmund 5-5
Raheem Sterling (saved) – Man City 5-5
Jacob Bruun (saved) – Dortmund 5-5

Angelino (scored) – Man City 5-6

Mikel Merino (saved) – Dortmund 5-6


No comments

Powered by Blogger.