HII HAPA ORODHA YA WACHEZAJI WALIOACHWA NA WALIOSAJILIWA LIGI KUU ENGLAND

Heka heka za usajili wa wachezaji katika ligi kuu nchini England zinazidi kushika kasi usajili ambao utaishia Agosti 31 mwaka huu. Na hii ndiyo Orodha kamili ya wachezaji ambao mpaka sasa wameshasajiliwa ama kuachwa na vilabu 20 vya ligi kuu nchini England.


ARSENAL

WALIOSAJILIWA
Granit Xhaka (Borussia Monchengladbach, £35m)
Rob Holding (Bolton, £2m)

WALIOONDOKA
Mikel Arteta (Ameachwa)
Tomas Rosicky (Ameachwa)
Mathieu Flamini (Ameachwa)

BOURNEMOUTH

WALIOSAJILIWA
Lewis Cook (Leeds United, £6m)
Lys Mousset (Le Havre, £5.4m)
Emerson Hyndman (Fulham, fidia)
Nathan Ake (Chelsea, mkopo)
Jordon Ibe (Liverpool, £15m)
Brad Smith (Liverpool, £3m rising to £6m)

WALIOACHWA
Matt Ritchie (Newcastle United, £12m)
Tommy Elphick (Aston Villa, £3.6m)
Lee Tomlin (Bristol City, £2.75m)
Sylvain Distin (Ameachwa)
Stephane Zubar (Ameachwa)
Josh Carmichael (Ameachwa)
Josh Wakefield (Ameachwa)
Glenn Murray (Brighton & Hove Albion, mkopo)

BURNLEY

WALIOSAJILIWA
Johann Berg Gudmundsson (Charlton, £2.5m)
Nick Pope (Charlton, £1.1m)

WALIOACHWA
Joey Barton (Rangers, Bure)
Matt Gilks (Rangers, bure)
Matt Taylor (Ameachwa)
Lloyd Dyer (Ameachwa)

CHELSEA 

WALIOSAJILIWA
Michy Batshuayi (Marseille, £33m)
N'Golo Kante (Leicester, £30m)

WALIOACHWA
Nathan Ake (Bournemouth, mkopo)

CRYSTAL PALACE 

WALIOSAJILIWA
Andros Townsend (Newcastle United, £13m)
James Tomkins (West Ham United, £10m)
Steve Mandanda (Marseille £1.5m)

WALIOACHWA
Dwight Gayle (Newcastle United, £10m)
Emmanuel Adebayor (Ameachwa)
Marouane Chamakh (Ameachwa)
Brede Hangeland (Ameachwa)
Adrian Mariappa (Ameachwa)
Paddy McCarthy (Ameachwa)

EVERTON 

WALIOSAJILIWA
Maarten Stekelenburg (Fulham, undisclosed)

WALIOACHWA
Tony Hibbert (Ameachwa)
Leon Osman (Ameachwa)
Steven Pienaar (Ameachwa)

HULL CITY 

WALIOSAJILIWA
Will Mannion (AFC Wimbledon)

WALIOACHWA
Sone Aluko (Fulham, bure)
Ryan Taylor (Ameachwa)

LEICESTER  CITY.


WALIOSAJILIWA
Ahmed Musa (CSKA Moscow, £18m)
Nampalys Mendy (Nice, £13m)
Ron-Robert Zieler (Hannover 69, undisclosed)
Luis Hernandez (Sporting Gijon, undisclosed)
Raul Uche Rubio (Rayo Vallecano, undisclosed)

WALIOACHWA
N'Golo Kante (Chelsea, £30m)
Andrej Kramaric (Hoffenheim, undisclosed)
Joe Dodoo (Rangers, undisclosed)
Ryan Watson (Barnet, bure)
Dean Hammond (Ameachwa)
Paul Koncheskey (Ameachwa)
Harry Panayiotou (Ameachwa)
Mark Schwarzer (Ameachwa)

LIVERPOOL 

WALIOSAJILIWA
Sadio Mane (Southampton, £30m)
Loris Karius (Mainz, £4.7m)
Joel Matip (Schalke, free)
Ragnar Klavan (Augsburg, £5m)
Alex Manninger (Augsburg, free)
Georginio Wijnaldum (Newcastle, £25m)

WALIOACHWA
​Jordon Ibe (Bournemouth, £15m)
Joe Allen (Stoke City, £13m)
Brad Smith (Bournemouth, £3m rising to £6m)
Jerome Sinclair (Watford, £4m)
Lawrence Vigouroux (Swindon Town, £400,000)
Jordan Rossiter (Rangers, £250,000)
Adam Bogdan (Wigan Athletic, Mkopo)
Jose Enrique (Ameachwa)
Kolo Toure (Ameachwa)
Samed Yesil (Ameachwa)

MANCHESTER CITY 

WALIOSAJILIWA
Ilkay Gundogan (Borussia Dortmund, £21m)
Nolito (Celta Vigo, £14m)
Oleksandr Zinchenko (Ufa, undisclosed)
Aaron Mooy (Melbourne City, swap deal)

WALIOACHWA
Aaron Mooy (Huddersfield, loan)
Martin Demichelis (Ameachwa)
Richard Wright (Amestaafu)

MANCHESTER UNITED 

WALIOSAJILIWA
Eric Bailly (Villarreal, £30m)
Henrikh Mkhitaryan (Borussia Dortmund, £26m)
Zlatan Ibrahimovic (Paris Saint-Germain, Bure)

WALIOACHWA
Victor Valdes (Middlesbrough, bure)
Nick Powell (Ameachwa)
Guillermo Varela (Frankfurt, mkopo)

MIDDLESBROUGH

WALIOSAJILIWA
Marten De Roon (Atalanta, £12m)
Viktor Fischer (Ajax, £3.8m)
Victor Valdes (Manchester United, bure)
Bernardo Espinosa (Sporting Gijon, bure)
Jordan McGhee (Hearts, mkopo)
Antonio Barragan (Valencia, £3m)
Alvaro Negredo (Valencia, mkopo)

WALIOACHWA
Rhys Williams (Perth Glory, bure)
Jordan Jones (Kilmarnock, bure)
Jonathan Woodgate (Ameachwa)
Damia Abella (Ameachwa)

SOUTHAMPTON 

WALIOSAJILIWA
Nathan Redmond (Norwich City, £11m)
Pierre-Emile Hojbjerg (Bayern Munich, £12m)

WALIOACHWA
Sadio Mane (Liverpool, £30m)
Victor Wanyama (Tottenham Hotspur, £11m)
Gaston Ramirez (Ameachwa)
Kelvin Davis (Amestaafu)
Jason McCarthy (Walsall, mkopo)
Graziano Pelle (Shandong Luneng, £13m)

STOKE CITY 

WALIOSAJILIWA
Joe Allen (Liverpool, £13m)
Ramadan Sobhi (Al Ahly, £5m)

WALIOACHWA
Steve Sidwell (Brighton, bure)
Peter Odemwingie (Ameachwa)

SUNDERLAND 

WALIOSAJILIWA
- hakuna

WALIOACHWA
Emanuele Giaccherini (Napoli, £2m)
Danny Graham (Blackburn Rovers, bure)
Steven Fletcher (Sheffield Wednesday, bure)
Wes Brown (Ameachwa)
Steve Harper (Ameachwa)
Mikael Mandron (Ameachwa)
Liam Agnew (Ameachwa)

SWANSEA CITY 

WALIOSAJILIWA
Leroy Fer (QPR, £3.5m)
Mike van der Hoorn (Ajax, £2m)

WALIOACHWA
Alberto Paloschi (Atalanta, £6m)
Eder (Lille, £4m)
Daniel Alfei (Ameachwa)
Lee Lucas (Ameachwa)
Matt Grimes (Leeds United, mkopo)
Kyle Bartley (Leeds United, mkopo)
Liam Shephard (Yeovil Town, mkopo)

TOTTENHAM

WALIOSAJILIWA
Victor Wanyama (Southampton, £11m)
Vincent Janssen (AZ Alkmaar, £18.5m)

WALIOACHWA
- Hakuna

WATFORD

WALIOSAJILIWA
Isaac Success (Granada, £12m)
Christian Kabasele (Racing Genk, £5.8m)
Jerome Sinclair (Liverpool, £4m)
Juan Zuniga (Napoli, loan)
Brice Dja Djédjé (Marseille, £4m)

WALIOACHWA
Gabriele Angella (Udinese, undisclosed)
Jurado (Espanyol, undisclosed)
Joel Ekstrand (Ameachwa)
George Byers (Ameachwa)
Josh Doherty (Ameachwa)

WEST BROMWICH ALBION 

WALIOSAJILIWA
Matty Phillips (QPR, £5.5m)

WALIOACHWA
Anders Lindegaard (Preston North End, bure)
Victor Anichebe (Ameachwa)
Stephane Sessegnon (Ameachwa)

WEST HAM UNITED 

WALIOSAJILIWA
Toni Martinez (Valencia, £2.4m)
Sofiane Feghouli (Valencia, bure)
Havard Nordtveit (Borussia Monchengladbach, bure)
Gokhan Tore (Besiktas, mkopo)

WALIOTOKA
James Tomkins (Crystal Palace, £10m)
Elliot Lee (Barnsley, bure)
Joey O'Brien (Ameachwa)
Jordan Brown (Ameachwa)
Leo Chambers (Ameachwa)
Stephen Hendrie (Blackburn Rovers, mkopo)
Kyle Knoyle (Wigan Athletic, mkopo)

No comments

Powered by Blogger.