FALCAO ARUDISHA MAKALI YAKE YA KUFUNGA APIGA BAO 2 MONACO IKISHINDA 4-1 (+Video)

Baada ya kuonekana hafai ndani ya vikosi vya Manchester United na Chelsea mshambuliaji wa Colombia anayeichezea Monaco ameanza kurudisha makali yake katika kuzifumania nyavu.



Jana akiichezea Monaco katika pambano la Kirafiki ugenini dhidi ya Sporting Lisbon Radamel Falcao alifunga bao 2 katika ushindi wa bao 4-1 katika mechi ya kujipima nguvu kabla ya kuanza msimu mpya.

Katika mechi ya wiki iliyopita Falcao aligunga bao moja pia hii inaonyesha kwamba mkali huyo wa mabao amerudi katika kiwango chake kama atapata nafasi katika kikosi cha Monaco.

Tumekuwekea hapa highlights za mchezo huo

No comments

Powered by Blogger.