TAMBWE NJE, CANNAVARO NDANI KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MEDEAMA JIONI HII

Kuelekea katika pambano la marudiano la Kombe la Shirikisho barani Afrika kikosi cha Yanga kimewekwa tayari hadharani.


Yanga itapambana na wenyeji wao Medeama ya Ghana katika mchezo utakaoanza majira ya saa 12 kwa saa za hapa nyumbani mchezo ambao  inasemekana utaonyeshwa na Kituo cha Super Sports kupitia channel ya Super sports 9.

Nahodha Nadir Haroub Canavaro amerejea kikosini baada ya mlinzi Vicent Bousou kuachwa kutokana na majeruhi huku Amiss Tambwe akianzia benchi na safu ya ushambuliaji ikiongozwa na Donald Ngoma na Obrey Chirwa.

Kikosi kamili

1. Deo Munishi
2. Juma Abdul
3. Oscar Joshua
4. Nadir Haroub
5. Kelvin Yondani
6. Mbuyu Twite
7. Simon Msuva
8. Thaban Kamusoko
9. Donald Ngoma
10. Niyonzima Haruna
11. Obrey Chirwa

AKIBA

Ally Mustafa
Vicent Andrew
Pato Ngonyani
Juma Mahadhi
Amiss Tambwe
Malimi Busungu
Said Juma

www.wapendasoka.com

No comments

Powered by Blogger.