HIKI NDICHO KIKOSI BORA CHA MICHUANO YA EURO 2016

Michuano ya Euro 2016 ilimalizika kwa Ureno kuwafunga wenyeji kwa bao 1-0 katika mchezo wa fainali.



Lakini majina ya wachezaji wanaouunda kikosi bora cha michuano hiyo uteuzi uliofanywa na Jopo la Makocha Wataalam wakiwemo pia Sir Alex Ferguson, David Moyes, Gareth Southgate na Mixu Paatelainen katika Jopo la Watu 13 imetoka.

Mabingwa Ureno wametoa wachezaji wanne huku Ufaransa wakitoa wachezaji wawili huku Ujerumani wakitoa watatu.
EURO 2016

KIKOSI BORA:

[Mfumo: 4-2-3-1]

-Rui Patricio (Portugal)

-Joshua Kimmich (Germany), Jerome Boateng (Germany), Pepe (Portugal),Raphael Guerreiro (Portugal)

-Toni Kroos (Germany), Joe Allen (Wales)

-Antoine Griezmann (France), Aaron Ramsey (Wales), Dimitri Payet (France)

-Cristiano Ronaldo (Portugal


No comments

Powered by Blogger.