CHELSEA YAWATEMA FALCAO,PATO NA MARCO AMELIA
Klabu ya Chelsea imethibitisha kuachana na wachezaji watatu ambao walikua hawapati namba kikosini kutokana na sababu mbalimbali lakini hasa viwango dunia.
Wachezaji waliotangwa kuachwa na Chelsea ni pamoja na washambuliaji Radamel Falcao na Alexandre Pato huku ikimwacha pia Marco Amelia ambaye alikua ni golikipa wa akiba.
Falcao ameamua kurudi katika klabu yake ya Monaco na ameshasema anataka kuhakikisha anaibuka mfungaji bora msimu ujao wa ligi ku ya Ufaransa.
Akiwa Chelsea kwa mkopo wa msimu mzima wa mwaka 2015/2016 alifanikiwa kufunga bao moja tu katika mechi 12 alizocheza wakati Pato yeye alisajiliwa mwezi Januari na kufanikiwa kufunga goli 1 tu katika mechi mbili alizocheza.

No comments