BATSHUAYI ATIMKIA DORTMUND KUMPISHA GIROUD CHELSEA
Batshuayi akifanyiwa vipimo vya afya Dortmund Mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji Michy Batshuayi amehama klabu hiyo na kujiunga na Bo...
SIKU MOJA BAADA YA KUFUNGWA NA SWANSEA, ARSENAL YAMSAJILI AUBAMEYANG
Hatimaye klabu ya Arsenal imetangaza kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon aliyekua akiichezea Borussia Dortmund Pierre-Emerick Auba...
MAN CITY YAMSAJILI BONGE LA BEKI TOKA ATHLETIC BILBAO
Vinara wa Ligi kuu nchini England Manchester City wamevunja rekodi ya Usajili wao kwa kumsajili beki wa kimataifa wa Ufaransa Aymeric Lap...
GERARD PIQUE "AJIFUNGIA" KUMALIZA SOKA BARCELONA
Beki wa kimatafa wa Spain anayeichezea Barcelona Gerard Pique amesaini mkataba mpya wa kuichezea Barcelona mkataba wa miaka minne na nusu a...
BAADA YA KICHAPO, DANIEL STURRIDGE AJIUNGA NA WEST BROM "KUUNGA MKONO JUHUDI ZA PAWDEW"
Siku chache baada ya kufungwa bao 3-2 na West Brom na kupelekea kuondoshwa katika michuano ya kombe la FA nchini England klabu ya Liverpool...
ELIAS MAGULI ATAJWA USAJILI WA MSHAMBULIAJI YANGA
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na mfungaji wa bao la kusawazisha la Taifa Stars dhidi ya Benin kwenye mchezo wa kimataifa wa kiraf...
REAL MADRID YAMTENGEA PAUNDI MILIONI 177 HARRY KANE WA SPURS
Habari toka nchini Spain zimeeleza kwamba Mabingwa wa La Liga Real madrid wanajiandaa kupeleka dau la paundi milioni 177 sawa na Euro milio...
CHELSEA YASAJILI WAWILI SIKU YA MWISHO YA USAJILI ENGLAND
Mabingwa wa Ligi kuu ya England Chelsea wamefanikiwa kupata saini za wachezaji wawili jana kabla ya kufungwa dirisha la usajili wa majira...
RASMI : CHELSEA YAMSAJILI MDOGO WA EDEN HAZARD
Mabingwa wa England Chelsea imekamilisha usajili wa Kylian Hazard ambaye ni mdogo wa Eden Hazard akitokea klabu ya Ujpest ya Hungary. K...
CHAMBERLIN HUYOOOO CHELSEA
Winga mwingereza mwenye kasi na nguvu, Alex-Oxlade Chamberlain yupo mbioni kujiunga na Chelsea akitokea Arsenal.
BARCELONA YAMNASA DEMBELE WA DORTMUND KWA DAU LA KUFURU
Borussia Dortmund imekubali kumuuza mshambuliaji wake Raia wa Ufaransa Ousmane Dembele kwenda klabu ya Barcelona kwa ada ya uhamisho pau...
BARCELONA WAKATA TAMAA KUMPATA COUTINHO, BAYERN MUNICH YAMTOLEA MACHO DRAXLER. TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA ZIKO HAPA
Paris Saint- Germain wanakaribia kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Monaco Kylian Mbappe, 18, na Fabinho kwa pauni milioni 200. Mbapp...
RASMI: SAMIR NASRI ATIMKIA UTURUKI AKITOKEA MAN CITY
Kiungo wa Kimataifa wa Ufaransa zamani akiichezea Arsenal na Manchester City Samir Nasri amejiunga rasmi na klabu ya Antalyaspor inayoshi...
BAADA YA PSG KUMNASA NEYMAR SASA MAN CITY WAMGEUKIA MESSI. TETESI ZA USAJILI ULAYA LEO JUMATATU HIZI HAPA
Manchester City wapo tayari kuvunja rekodi ya dunia kwa kutoa pauni milioni 275 na kutengua kipengele cha ada ya uhamisho cha Lionel Me...
PAULINHO AKABIDHIWA JEZI NAMBA 15 BARCELONA
Hatimaye Barcelona imekamilisha uhamisho wa Kiungo wa kimataifa wa Brazil na klabu ya Guangzhou Evergrande ya ligi kuu ya China kwa ada ya...
BEKI MAN UNITED ATIMKIA CRYSTAL PALACE
Timoth Fosu-Mensah amejiunga na klabu ya Crystal Palace kwa mkataba wa mkopo wa msimu mzima akitokea Manchester United. Fosu-Mensah mwe...
BAADA YA NEYMAR SASA PSG WAMUIBUKIA MBAPPE WA MONACO
Wiki Moja baada ya kufanikiwa kumsajili Neymar kwa rekodi ya dunia paundi milioni 198,PSG wamehamia kwa Kylian Mbappe toka klabu ya Monac...