GERARD PIQUE "AJIFUNGIA" KUMALIZA SOKA BARCELONA

Gerard Pique has made his intentions clear that he wants to stay at Barcelona until he retires
Beki wa kimatafa wa Spain anayeichezea Barcelona Gerard Pique amesaini mkataba mpya wa kuichezea Barcelona mkataba wa miaka minne na nusu ambao utamweka Nou Camp mpaka mwaka 2022.

Pique ambaye amewahi pia kuichezea Manchester United amesema hakuwa na wazo la kusaini timu yoyote zaidi ya Barcelona ndo mana lilipokuja wazo la kuongeza mkataba hakusita na anaona Barcelona ni mahali sahihi kwake kumalizia soka lake.

Sambamba na mkataba huo Barcelona wameweka kipengele cha timu itakayetaka kuuvunja basi itabidi itoe Paundi milioni 441.6 hali inayotoa ugumu kwa klabu yoyote kujaribu kumsaini ndani ya mkataba huu mpya.

No comments

Powered by Blogger.