PAULINHO AKABIDHIWA JEZI NAMBA 15 BARCELONA



Hatimaye Barcelona imekamilisha uhamisho wa Kiungo wa kimataifa wa Brazil na klabu ya Guangzhou Evergrande ya ligi kuu ya China kwa ada ya Uhamisho wa Paundi milioni 36.5.

Paulinho mchezaji wa zamani wa Totenham Hotspur ya England amekamilisha usajili wake leo Alhamisi na kutambulishwa kwa waandishi wa habari na atakua akivaa jezi namba 15.

No comments

Powered by Blogger.