RASMI: SAMIR NASRI ATIMKIA UTURUKI AKITOKEA MAN CITY
Nasri ambaye amedumu katika kikosi cha Man City kwa miaka 6 alikua amebakiza miaka miwili kumaliza mkataba wake na nafasi ya kujiunga na Antalyaspor inakuja baada ya msimu uliopita kucheza kwa mkopo akiwa na Sevilla ya Spain.
Nasri ambaye ameshinda ubingwa wa Ligi kuu England mara mbili Anajiunga na klabu hiyo kwa ada ya uhamisho wa Paundi milioni 8 na tayari amepokelewa kwa shangwe kubwa sana nchini Uturuki.
katika klabu hiyo Nasri atacheza na Samuel Eto'o na Jeremy Menez ambao walishawahi kuwika miaka ya nyuma
katika klabu hiyo Nasri atacheza na Samuel Eto'o na Jeremy Menez ambao walishawahi kuwika miaka ya nyuma
No comments