BEKI MAN UNITED ATIMKIA CRYSTAL PALACE
Timoth Fosu-Mensah amejiunga na klabu ya Crystal Palace kwa mkataba wa mkopo wa msimu mzima akitokea Manchester United.
Fosu-Mensah mwenye miaka 19 ameruhusiwa kuondoka Old Trafford ili apate nafasi ya kucheza mechi nyingi za ligi hiyo inayotarajia kuanza kutimua vumbi leo.
Mchezaji huyo anaweza kucheza vyema nafasi yoyote kama beki na kungo.
No comments