BAADA YA KICHAPO, DANIEL STURRIDGE AJIUNGA NA WEST BROM "KUUNGA MKONO JUHUDI ZA PAWDEW"

Liverpool star Daniel Sturridge completes West Brom loan
Siku chache baada ya kufungwa bao 3-2 na West Brom na kupelekea kuondoshwa katika michuano ya kombe la FA nchini England klabu ya Liverpool imempoteza mshambuliaji wake Daniel Sturridge ambaye ameamua kujiunga na West Brom kwa Mkataba wa mkopo wa miezi 6.

West Brom Chini ya kocha Allan Pawdew iliibuka na ushindi huo wa kihistoria katika dimba la Anfield wikiend iliyopita.

Daniel Sturridge ameamua kujiunga na West Brom akiikacha Newcastle United ambayo ilikua inamwania na hii pengine inatokana na kutaka kupata nafasi ya kucheza hivyo kujiongezea nafasi ya kuitwa katika kikosi cha Engalnd kitakachoshiriki kwenye michuano ya kombe la dunia badae mwaka huu.

No comments

Powered by Blogger.