HII NDIO RATIBA YA RAUNDI YA TANO KOMBE LA FA ENGLAND
Ratiba ya raundi ya tano ya kombe la
FA imetoka huku Vigogo wa Epl wakipangiwa vibonde
West Brom vs Southampton
Chelsea vs Hull
Leicester vs Sheffield United
Huddersfield or Birmingham Vs
Manchester United
Wigan Vs Man City
Brighton Vs Coventry
Sheffield Wednesday vs Notts Country or
Swansea
Millwall or Rochadale V Newport or
Tottenham
Mechi hizo kupigwa wikiendi ya februari 17 na 18
No comments