ICC: CHELSEA YAKUMBANA NA KICHAPO TOKA KWA REAL MADRID

Michuano ya International Champions Cup inazidi kushika kasi nchini Marekani ambako Mabingwa wa Ulaya Real Madrid waliwalaza Chelsea kwa bao 3-2.


Beki wa kulia wa Real Madrid Marcelo alifunga bao 2 huku chipukizi Mariano Diaz Mejia akifunga bao moja moja na kufanya mchezo huo kwenda Mapumziko Real Madrid wakiwa mbele kwa bao 3-0.

Kipindi cha pili Chelsea walizinduka usingizini na kupata mabao mawili yakifungwa yote na Eden Hazard

No comments

Powered by Blogger.