WENGER AHAIDI KUTUMIA PESA NYINGI KWA USAJILI.UNAJUA ANAMTAKA NANI?

Kocha wa Arsenal Mfaransa Arsene Wenger ameahidi kutumia pesa nyingi kuimarisha kikosi chake kabla dirisha la usajili halijafungwa.


Wenger amesema atatumia pesa yoyote iwapo atampata mchezaji sahihi wa kumsajili na hatapoteza pesa bure.

Tayari winga wa Leicester City na mchezaji bora wa msimu uliopita  Riyad Mahrez amehusishwa kusajiliwa na Arsenal na dau la Euro milioni 50 zimetengwa na Arsenal kumpata have winga huyo raia wa Algeria.

Tayari Arsenal imeshatumia paundi milioni 30 kupata saini ya kiungo wa Uswisi Granit Xhaka kutoka Borussia Monchengladbach ya Ujerumani.




No comments

Powered by Blogger.