HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA GOR MAHIA
1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3. Paul Bukaba 4. Yusuf Mlipili 5. Eraston nyoni (c) 6. Jonas Mkude 7. Shiza Kichuya 8. Mzamiru ...
HIKI HAPA KIKOSI CHA SINGIDA UNITED DHIDI YA HOMEBOYS
1. Peter Manyika 2. Miraji Adam 3. Salum Chuku 4. Antiri Malik 5. Kennedy Juma 6. Diaby Amara 7. Deus Kaseke (c) 8. Kenny Ally 9. ...
RATIBA YA MECHI ZA LEO JUMAPILI
SPORTPESA SUPER CUP Mshindi wa tatu 12:00- Kk. Homeboys Vs Singida United Fainali 15:00 - Gor Mahia vs Simba SC Mechi za kirafiki...
HABARI KUU KATIKA KURASA ZA MICHEZO KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JUNI 10
Karibu tuangalie kwa pamoja habari kuu zilizoandikwa katika magazeti ya michezo na kurasa za michezo za magazeti mengine siku ya leo hapa Ta...
REAL MADRID YAMWEKA "SOKONI" RONALDO
Taarifa kutoka Nchini Spain kupitia chanzo cha habari Mundo Deportivo zinaeleza kwamba Real Madrid wameweka wazi dau la Euro milioni 200 k...
DONALD NGOMA NJE TENA WIKI TISA
Imefahamika kwamba Mshambuliaji mpya wa Azam FC Donald Ngoma atakaa nje Kwa wiki Tisa kuanzia sasa Ili awe tayari kuitumikia klabu yake ka...
HAPATOSHI TAIFA LEO HUKU SAMATA HUKU ALI KIBA
Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samata sambamba na mwanamuzi wa Muziki wa kizazi Kipya Ali Kiba Leo jioni katika uwanja wa Taifa jijini Dar ...
SIMBA KUMKOSA HARUNA NIYONZIMA KESHO DHIDI YA GOR MAHIA
Wekundu wa Msimbazi Simba ambao ni Mabingwa wa Soka nchini Tanzania kesho Jumapili wataingia uwanjani kuwania ubingwa wa Sportpesa Super ...
TFF YAWAPA YANGA MPAKA JUMAPILI KUJITATHMINI KUJITOA KAGAME CUP.
Shirikisho la Soka nchini Tanzania T.F.F limewapa viongozi wa Yanga mpaka Jumapili hii kuweza kujitathmini kuhusu barua yao waliyoandika k...
BILIONEA SHABIKI WA MAN UNITED AJITOKEZA KUINUNUA CHELSEA, ABRAMOVICH AGOMA
Mmiliki wa Klabu ya Chelsea Roman Abramovic amekataa ofa ya kuiuza Klabu hiyo ofa iliyotolewa na Tajiri Mwingereza ambaye ni shabiki mk...
HABARI KUU KATIKA KURASA ZA MICHEZO KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JUNI 9
Karibu tuangalie kwa pamoja habari kuu zilizoandikwa katika magazeti ya michezo na kurasa za michezo za magazeti mengine siku ya leo hapa T...
KOMBE LA DUNIA, ARGENTINA YAPATA PIGO, LANZINI AUMIA
Ikiwa imebaki wiki moja kabla ya kuanza kwa fainali ya kombe la dunia Kiungo wa kimatifa wa Argentina anayeichezea West Ham United Manuel ...
HARRY KANE AJIFUNGA SPURS MPAKA 2024.
Nahodha wa Timu ya taifa ya England Harry Kane ameamua kusaini mkataba mpya wa miaka sita kuichezea Tottenham Hotspurs mkataba utakaomweka...
KAPOMBE AFURAHIA KUKUTANA NA GOR MAHIA
Nyota wa timu ya Simba, Shomari Kapombe amefurahia kukutana na timu ya Gor Mahia katika mchezo wa fainali wa michuano ya SportPesa Super C...
LEICESTER CITY YAMNASA JOHN EVANS
Mabingwa wa ligi kuu Soka nchini England mwaka 2015/2016 klabu ya Leicester City imekamilisha uhamisho wa mlinzi wa zamani wa klabu ya Man...
BARANSANANIKIYE ATIKISA VILABU KATIKA USAJILI NCHINI BURUNDI
Na Niyikuza Sarara Yves : Burundi Mwaka 1995 Ndiyo mwaka aliozaliwa mshambuliaji Jackson Baransananikiye ambaye anatikisa sasa katika...
RASMI: YANGA YAIKIMBIA SIMBA KAGAME, YATANGAZA KUJITOA
Kitimtim cha michuano ya klabu bingwa Afrika mashariki kilichopangwa kutimua vumbi hapa Tanzania kuanzia Juni 28 hadi Julai 13 jijini Dar ...
KERR HAICHUKULII POA SIMBA
Kocha mkuu wa timu ya Gor Mahia, Dylan Kerr amebainisha kuwa watapata upinzani mkubwa kutoka kwa Simba kwakua wanazidi kuimarika kila mche...