LIVERPOOL WATAJIWA BEI YA CHILWELL KAMA WANAMTAKA
Klabu ya Liverpool imetajiwa kiasi cha paundi milioni 10 kama wanataka kupata huduma ya beki wa pembeni wa Leicester City Ben Chilwell.
Mabingwa hao wa Ligi kuu nchini England hawana mpango wa kumuuza beki huyo anayeichezea pia timu ya taifa ya England chini ya miaka 21 lakini mkataba wake umebaki mwaka mmoja na pengine inaweza kuwashawishi kumuuza kwani mpaka sasa haijajulikana mustakabali wake baada ya kugomea kusaini mkataba mpya.
Chilwell ana uwezo wa kutoa changamoto kwa Alberto Moreno katika kikosi cha kwanza cha Liverpool amekua pia akiwaniwa na Arsenal,Chelsea na Manchester City.
Tayari Liverpool walipeleka ofa ya paundi milioni 5 na nyongeza ya paundi milioni 2 kumnasa beki huyo lakini Leicester City wamekataa kwani kiasi kama hicho kilipelekwa na Arsenal mwezi Januari.

No comments