LIVERPOOL NA MAN UNITED HAKUNA MBABE. TAZAMA HAPA HIGHLIGHTS ZA MCHEZO
Pambano la watani wa jadi katika soka la England yani Liverpool na Manchester United limemalizika kwa sare ya bila kufungana.
MTAMBO MPYA WA MAGOLI URENO,NI ANDRE SILVA APIGA HAT-TRICK URENO IKISHINDA 6-0 (+Video highlights)
Akicheza mechi yake ya 4 akiwa na timu ya taifa ya Ureno Kijana mwenye miaka 20 Andre Silva jana alifunga Hat-Trick kipindi cha kwanza akiwa...
BENTEKE APIGA HAT-TRICK UBELGIJI IKISHINDA 6-0 (+Video highlights)
Christian Benteke jana alifunga bao 3 katika ushindi wa bao 6-0 walioupata Ubelgiji dhidi ya Gilbratar kuwania kufuzu kwa kombe la dunia. ...
ANGALIA HAPA JINSI POGBA ALIVYOIBEBA UFARANSA DHIDI YA UHOLANZI
Pambano la kuwania kufuzu kwa kombe la dunia mwaka 2018 kati ya wenyeji Uholanzi na Ufaransa lilimalizika kwa Ufaransa kushinda bao 1-0 goli...
MATOKEO YA SARE YAITAWALA REAL MADRID (+video highlights)
Mabingwa wa Ulaya Real Madrid wameendelea kupata matokeo ya sare katika michezo yake ya hivi karibuni na leo ikitoka na sare ya bao 1-1 dhid...
LICHA YA KIPA KUOKOA PENATI 2 VALENCIA YAENDELEA KUGAWA POINT LA LIGA (+video)
Hali imeendelea kuwa ngumu kwa Valencia baada ya kupoteza mchezo wake mqingine leo wa ligi kuu Spain La Liga dhidi ya Atletico Madrid.
ANGALIA HAPA HIGHLIGHTS VIDEO ZA MECHI ZA JANA KATIKA LIGI YA MABINGWA
Michezo 8 ilipigwa jana katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya. www.wapendasoka.com tumekuwekea hapa video highlights za mechi hi...
WEST HAM MAMBO BADO MAGUMU KATIKA UWANJA MPYA (Video Highliths)
Ikicheza kwa mara nyingine katika uwanja wake mpya wa Olimpic jijini London West Ham wamekubali tena kichapo na safari hii wakifungwa bao 3-...
CONTE AKUMBANA NA KIPIGO CHA KWANZA KATIKA EPL (+Video)
Pambano kati ya Wenyeji Chelsea dhidi ya Liverpool limemalizika kwa Wenyeji kukubali kichapo cha bao 2-1.
BALOTEL APIGA BAO 2 NA KUIPONDEA LIVERPOOL (+Video)
Mshambuliaji mpya wa Nice ya Ufaransa Mario Balotel jana aliiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa bao 3-2 dhidi ya Mahasimu wao Olympic M...
ANGALIA VIDEO HAPA JINSI CHELSEA WALIVYOPUNGUZWA KASI NA SWANSEA
Kasi ya ushindi ya Chelsea imepunguzwa na Swansea baada ya kutoka sare ya goli 2-2 mchezo wa ligi kuu ya England katika dimba la Liberty.
PENATI YA DAKIKA ZA MWISHO YAIBEBA ARSENAL NYUMBANI (+Video)
Arsenal imeibuka na ushindi wa bao 2-1 katika mchezo wake wa ligi kuu ya England leo dhidi ya Southampton.
VIDEO : LUKAKU APIGA BAO 2 UBELGIJI IKIITWANGA CYPRUS BAO 3-0
Romelu Lukaku alifunga bao 2 katika ushindi wa bao 3-0 walioupata Ubelgiji dhidi ya Wenyeji Cyprus katika michuano ya kufuzu kwa kombe la Du...