CONTE AKUMBANA NA KIPIGO CHA KWANZA KATIKA EPL (+Video)

Pambano kati ya Wenyeji Chelsea dhidi ya Liverpool limemalizika kwa Wenyeji kukubali kichapo cha bao 2-1.



Wageni walijipatia mabao hayo mawili kipindi cha kwanza kupitia kwa Dejan Lovren na Jordan Henderson na kufanya mchezo huo mpaka mapumziko matokeo yakiwa goli 2-0 Liverpool wakiwa mbele.

Kipindi cha pili Chelsea waliongeza nguvu na kasi katika kulishambulia lango la Liverpool na kufanikiwa kupata bao kupitia kwa Diego Costa.

Tumekuwekea hapa highlights za mchezo huo.

No comments

Powered by Blogger.