LICHA YA KIPA KUOKOA PENATI 2 VALENCIA YAENDELEA KUGAWA POINT LA LIGA (+video)
Hali imeendelea kuwa ngumu kwa Valencia baada ya kupoteza mchezo wake mqingine leo wa ligi kuu Spain La Liga dhidi ya Atletico Madrid.
Mchezo huo uliopigwa katika dimba la nyumbani la Valencia yani Mastalla ulishuhudia Valencia ikilambwa bao 2-0 magoli ya Antonio Griezman na Kevin Gamero.
Shukrani kwa kipa wa valencia Diego Alves aliyeokoa penati mbili zilizopigwa na Gabi na Griezman.
Shukrani kwa kipa wa valencia Diego Alves aliyeokoa penati mbili zilizopigwa na Gabi na Griezman.
Angalia hapa highlights za mchezo huo

No comments