LUKAKU NA BARKLEY WAIBEBA EVERTON : ANGALIA HIGHLIGHTS HAPA

Romelu Lukaku na Rose arkley walifunga bao moja kila mmoja katika ushindi wa bao 2-0 walioypata Everton dhidi ya West Ham.


Mchezo huo ni mwendelezo wa ligi kuu ya England msimu huu wa mwaka 2016/2017 ukipigwa katika dimba la Goodson Park nyumbani kwa Everton.

Angalia highlights za mchezo huo hapa

No comments

Powered by Blogger.