Ikicheza kwa mara nyingine katika uwanja wake mpya wa Olimpic jijini London West Ham wamekubali tena kichapo na safari hii wakifungwa bao 3-0 toka kwa Southampton. Tumekuwekea hapa Highlights za mchezo huo kama hukuuona.
No comments