BARCELONA YAKUBALI KUMSAJILI SEMEDO NA ATAPIMWA AFYA LEO IJUMAA
Barcelona ya Spain Imekubali kutoa paundi milioni 26 tayari kumsajili beki wa kulia wa Benfica na timu ya taifa ya Ureno Nelson Semedo
Makubaliano baina ya pande mbili hizo yalifikiwa jana na leo mchezaji huyu anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya jijini Barcelona kukamilisha uhamisho huo wa kwanza kwa kocha mpya wa Barcelona Ernesto Valvede.
No comments