SANE,KOMPANY NA GUNDOGUN WAANZA MAZOEZI MAN CITY



Wachezaji watatu wa Manchester City ambao walikua majeruhi wameanza mazoezi na wachezaji wa kikosi cha kwanza

Nahodha Vicent Kompany na wachezaji wapya wawili Leroy Sane na Ilkay Gundogun ndiyo walioanza mazoezi tayari kujiandaa na mchezo wa Jumapili dhidi ya West Ham katika dimba la Etihad.

Manchester City inayofundiahwa na Pep Guadiola ndiyo inayoongoza ligi hivi sasa ikiwa na pointi 6 baada ya kuibuka na ushindi mnono wa bao 4-1 katika mechi ya ugenini dhidi ya Stoke katika dimba la Britania.


No comments

Powered by Blogger.