EUROPA LEAGUE : SAMATTA DIMBANI NA NDOTO YA KUCHEZA DHIDI YA MANCHESTER UNITED
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Ally Samatta leo atakua dimbani tena katika michuano ya Europa League.
Genk itakua nyumbani leo kuwakaribidha Locomotive Zagreb katika mechi ya mwisho ya hatua ya mtoano katika michuano hiyo kuwania kucheza hatua ya makundi.
Katika mchezo wa Awali timu hizo zilitoka sare ya bao 2-2, Samatta akifunga bao 1 katika mabao hayo mawili na kuleta unafuu katika mechi ya leo ambayo Genk watahitaji ushindi wowote au sare ya bao 1-1 au 0-0 kuweza kutinga hatua ya makundi.
Kama Genk itatinga hatua ya makundi katika michuano hiyo ya pili kwa ukubwa katika ngazi ya klabu barani Ulaya atakua ameweka historia mpya kwa soka la Tanzania na katika hatua hii ambapo timu kubwa kama Manchester United anaweza kukutana nazo.

No comments