BAADA YA KUMALIZANA NA BARCELONA ALEX SONG ATUA RASMI RUSSIA

Aliyekua kiungo wa Barcelona Alex Song amekamilisha usajili wake katika klabu ya Rubin Kazan inayoshiriki ligi kuu nchini Urusi (Russia) kama mchezaji huru.


Mchezaji huyo mwenye miaka 28 anahuyoga na Rubin Kazan baada ya kuvunja mkataba wake na Barcelona aliyojiunga nayo akitokea Arsenal.

Misimu miwili iliyopita Song alikua akicheza kwa mkopo katika kikosi cha West Ham United




No comments

Powered by Blogger.