EVERTON YAMTANGAZA KOEMAN KUMRITHI MARTINEZ
Klabu ya Everton jana ilimtangaza kocha mkuu wake mpya Ronald Koeman aliyekua akiinoa Southampton kuziba nafasi ya Roberto Martinez aliyetimuliwa
Koeman anajiunga na Everton kwa mkataba wa miaka mitatu. Taarifa ya klabu hiyo imeeleza kwamba Koeman ataanza kazi mara moja ikiwa pamoja na kushughulikia usajili kwa ajili ya msimu ujao.

No comments