SAMUEL ETO'O AFUNGA NDOA NCHINI ITALIA, PUYOL AHUDHURIA
Mchezaji wa zamani wa Barcelona,Chelsea na Inter Milan Samuel Eto'o Hatimaye ameamua kufunga ndoa na mama watoto wake Georgette Tra Lou nchini Italia jana.
Eto'o ana watoto wawili na mkewe hiyo na jana waliamua kufunga ping za maisha katika harusi iliyoanza katika michuano wa Stezzano nchini Italia na kuhudhuriwa na sahihi wake mkubwa Carlos Puyol.
No comments