BAADA YA KUSHINDWA KUTINGA ROBO FAINALI BRAZIL YAMTIMUA KOCHA DUNGA
Shirikisho la soka nchini Brazil limeamua kumtimua kocha mkuu wa kikosi hicho Carlos Dunga kufutia matokeo mabaya ya timu yake.
Dunga ameshindwa kuivusha Brazil katika makundi ya michuano ya Copa America inayoendelea nchini Marekani baada ya kushika nafasi ya 3 nyuma ya Peru na Ecuador Licha ya ushindi wa 7-1 walioupata dhidi ya Haiti katika Kundi lao.
Dunga anatarajia kurithiwa nafasi hiyo na kocha mkuu wa Corinthias Tite ambaye atakua na jukumu la kuiongoza Brazil katika michuano ya Olympic itakayofanyika nchini Brazil.

No comments