BARCELONA WAMTOLEA MACHO MATA KUZIBA NAFASI YA ARDA TURAN
Mabingwa wa Spain Barcelona wameanza kumtolea macho Kiungo wa Manchester United Juan Mata kutaka kumsajili mahususi kwaajili ya kuziba nafasi ya Arda TURAN.
Barcelona wanafatilia mwenendo wa hali katika kikosi cha Man United kufuatia kuwasili kwa kocha Jose Mourinho ambaye anatajwa pengine atamuuza Mata kama alivyofanya akiwa Chelsea.
Nafasi ya Arda Turan Barcelona imeonekana kulegea kufatia nyota huyo wa Uturuki kutoonyesha kiwango kilichokusudiwa.

No comments