MOURINHO ATINGA UWANJA WA MAZOEZI WA MAN UNITED KUKAGUA MAZINGIRA
Siku chache baada ya Manchester United kumtangaza kocha Jose Mourinho kama mrithi wa Louis Van Gaal jana kocha huyo mpya ametinga katika viwanja vya mazoezi vya klabu hiyo AON TRAINING COMPLEX
Jose Mourinho alipokelewa na gwiji wa klabu hiyo Sir Bobby Chalton na mtendaji mkuu msaidizi Ed Woodward ambaye ndiye aliyemzungusha kuona mazingira na kusalimiana na wafanyakazi wa hapo.
Tayari Mourinho ameshaanza kazi ya kuijenga United mpya katika utawala wake huku Mlinzi wa zamani wa klabu hiyo Rio Ferdinand akitajwa kama mtu anayeweza kuwa msaidizi wake.

No comments