MARCO REUS NJE, SCHWEINSTIGEIR NDANI KIKOSI CHA MWISHO CHA UJERUMANI
Akisherekea siku yake ya kuzaliwa Marco Reus ameachwa rasmi katika kikosi cha wachezaji 23 wa Ujerumani watakaoiwakilisha nchi hiyo katika michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa.
Kiungo huyo wa Borussia Dortmund hajachaguliwa katika kikosi cha kocha cha Joachim Low kutokana na kuwa majeruhi lakini habari njema ni kwa kiungo wa Manchester United Bastian Schweinsteiger baada ya kujumuishwa katika kikosi hicho cha Ujerumani licha ya kuwa majeruhi muda mrefu katika kikosi cha Manchester United.
KIKOSI KAMILI
Goalkeepers:
Manuel Neuer (Bayern Munich), Bernd Leno (Bayer Leverkusen), Marc-Andre ter Stegen (Barcelona)
Defenders:
Jerome Boateng (Bayern Munich), Emre Can (Liverpool), Jonas Hector (Cologne), Benedikt Hoewedes (Schalke 04), Mats Hummels (Borussia Dortmund), Shkodran Mustafi (Valencia), Antonio Ruediger (Roma)
Midfielders:
Julian Draxler (VfL Wolfsburg), Sami Khedira (Juventus), Joshua Kimmich (Bayern Munich), Toni Kroos (Real Madrid), Thomas Muller (Bayern Munich), Mesut Ozil (Arsenal), Lukas Podolski (Galatasaray), Andre Schuerrle (VfL Wolfsburg), Bastian Schweinsteiger (Manchester United), Julian Weigl (Borussia Dortmund)
Forwards:
Mario Gomez (Besiktas), Mario Goetze (Bayern Munich), Leroy Sane (Schalke 04)

No comments